- Afya, Habari, Kitaifa
- April 19, 2023
Serikali imesema itaendelea kuweka mifumo itakayowezesha uagizaji wa vitendanishi, vifaa tiba na dawa kwa Halmashauri zote ili kuboresha huduma za afya ya msingi nchini. Akijibu hoja za Waheshimiwa Wabunge tarehe 18 Aprili, 2023 Bungeni Jijini Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa Angellah Kairuki amesema Serikali itaendelea kufanya vikao na Wizara ya Afya
READ MOREBunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Tume ya Utumishi wa Waalimu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 shilingi Trilioni 9.1. Akitoa maelezo kuhusu hoja za wabunge zilizojitokeza wakati wa kujadili hotuba ya Bajeti ya
READ MORE- Afya, Habari, Kitaifa
- April 16, 2023
Katika jitihada za Serikali za kuhakikisha kila jamii inafikiwa na elimu kuhusu tahadhari na kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Marburg baada ya kuripotiwa Mkoani Kagera, Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) Kambi ya Kaboya Wilayani Muleba Mkoani Kagera wamevutiwa na hatua zinazofanywa na Wizara ya Afya za uelimishaji kuhusu tahadhari ya kujikinga na ugonjwa huo. Akizungumza mara baada ya kutembelea kutoa elimu katika kambi ya
READ MORE