- Afya, Habari
- March 15, 2023
Na Barnabas Kisengi Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt Godwin Mollel ameushukuru uongozi wa Shirika la afya la Japan, TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP kwa kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Hospitali ya Benjamin Mkapa kuboresha upatikanaji wa huduma kwa wananchi. Dkt. Mollel ametoa pongezi hizo Machi 14 alipokutana na uongozi wa Shirika hilo kutoka Japan
READ MORE- Afya, Habari
- March 15, 2023
Na Barnabas Kisengi Shinyanga MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme amekutana na Wazee Manispaa ya Shinyanga kuzungumza nao, kufahamiana, huku akiwaahidi kuboresha huduma za Afya kwa wazee. Mkuu wa Mkoa amesema leo ni siku yake ya kwanza kuanza kazi mkoani humo, hivyo ameona kitu cha kwanza azungumze na wazee ili apate baraka pamoja na
READ MORENa.Elimu ya Afya kwa Umma. Katika utekelezaji wa agizo la Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu la kuhakikisha kuanzisha kampeni ya Hamasa na Elimu kwa jamii umuhimu wa chanjo ya Surua, jumla ya watu 267, 261 wamefikiwa na elimu hiyo Wilayani Mlele mkoani Katavi kwa njia ya magari ya matangazo na kwa njia ya sinema huku
READ MORE