• TTB YATOA ELIMU YA UTALII WA TANZANIA KWA WANAJESHI WA “ZIMBABWE STAFF COLLEGE”

    TTB YATOA ELIMU YA UTALII WA TANZANIA KWA WANAJESHI WA “ZIMBABWE STAFF COLLEGE”0

    Ugeni wa Wanajeshi kutoka Zimbabwe wakifuatilia filamu ya The Royal Tour Tanzania …………………………………….. Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Leo imetoa elimu utalii wa Tanzania kwa wanajeshi ishirini na tatu (23) kutoka katika chuo cha “Zimbabwe staff College” cha nchini Zimbabwe kwa lengo la kujifunza kuhusu aina za utalii unafanyika nchini Tanzania, maeneo ya vivutio vya

    READ MORE
  • TAWA YAWASIHI WANANCHI KUWA NA DESTURI YA KUFANYA UTALII WA NDANI

    TAWA YAWASIHI WANANCHI KUWA NA DESTURI YA KUFANYA UTALII WA NDANI0

    Na Mwandishi wetu-Dar es Salaam Maafisa Wakike wa TAWA wakiendelea na Zoezi la kutoa elimu Kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na TAWA pamoja na elimu kuhusu Wanyamapori Kwa wananchi wanaojitokeza katika banda la TAWA kwenye Maonesho ya 46 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Mwl. Nyerere. Maafisa wa wakike wa TAWA wanekuwa

    READ MORE
  • MAFUNZO YA SENSA YAMEANZA RASMI LEO

    MAFUNZO YA SENSA YAMEANZA RASMI LEO0

    Na Barnabas Kisengi Dodoma Mafunzo ya SENSA katika ngazi ya Mikoa yanayowashirikisha wataalamu kutoka Tamisemi pamoja na waratibu wa SENSA wa Wilaya, Maafisa Elimu Mikoa na wilaya, wataalamu wa Tehama wa Wilaya, Maafisa mipango wilaya,Maafisa Maendeleo Jamii wilaya, Waratibu Elimu kata pamoja na wawakilishi kutoka vyama vya watu wenyeulemavu yameanza kufanyika leo hapa nchini ambayo

    READ MORE
Translate »