- Habari, Kitaifa
- July 6, 2022
Na Mwandishi wetu-Dar es Salaam Maafisa Wakike wa TAWA wakiendelea na Zoezi la kutoa elimu Kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na TAWA pamoja na elimu kuhusu Wanyamapori Kwa wananchi wanaojitokeza katika banda la TAWA kwenye Maonesho ya 46 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Mwl. Nyerere. Maafisa wa wakike wa TAWA wanekuwa
READ MORE- Habari, Kitaifa
- July 6, 2022
Na Barnabas Kisengi Dodoma Mafunzo ya SENSA katika ngazi ya Mikoa yanayowashirikisha wataalamu kutoka Tamisemi pamoja na waratibu wa SENSA wa Wilaya, Maafisa Elimu Mikoa na wilaya, wataalamu wa Tehama wa Wilaya, Maafisa mipango wilaya,Maafisa Maendeleo Jamii wilaya, Waratibu Elimu kata pamoja na wawakilishi kutoka vyama vya watu wenyeulemavu yameanza kufanyika leo hapa nchini ambayo
READ MORE- Habari, Kitaifa
- July 6, 2022
, ) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mzee Athumani Mohamed Nkabuye wakati alipokagua shamba la mtama la mzee huyo ambalo limeharibiwa na tembo waliokula zao hilo katika kijiji cha Namapuya wilayani Nachingwe, Julai 6, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Lindi, Zainab Telack na kula ni Mkuu wa wilaya ya Nachingwea, Hashim Abdallah Komba.
READ MORE