• MAJALIWA: RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUIFUNGUA TANZANIA.

  MAJALIWA: RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUIFUNGUA TANZANIA.0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kuifungua Tanzania kwa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali nchini ili Watanzania wazitumie katika kufanya shughuli kijamii zikiwemo biashara. Aliyasema hayo jana (Jumatatu, Januari 24, 2022) alipozungumza na wananchi wa Dareda akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali mkoani Manyara.

  READ MORE
 • NUSU YA SIMBA WOTE DUNIANI WAKO TANZANIA.

  NUSU YA SIMBA WOTE DUNIANI WAKO TANZANIA.0

  RAIS wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI), Sven Lindqueast ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye  nusu ya simba wote Duniani katika Mkutano wa 50 wa Mwaka wa Uwindaji wa Kitalii unaoendelea kufanyika nchini hapa. Rais huyo Bw. Sven Lindquest amesema kwa hatua hiyo ameipongeza kwa juhudi za utunzaji na kupelekea wingi wa wanyama hao.

  READ MORE
 • SERIKALI YA TANZANIA YAANIKA SABABU YA KUWA NA SIMBA WENGI DUNIANI, NCHINI MAREKANI

  SERIKALI YA TANZANIA YAANIKA SABABU YA KUWA NA SIMBA WENGI DUNIANI, NCHINI MAREKANI0

  Na Mwandishi Maalum, Las Vegas,Marekani. RAIS wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI), Sven Lindqueast ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye  nusu ya simba wote Duniani katika Mkutano wa 50 wa Mwaka wa Uwindaji wa Kitalii unaoendelea kufanyika nchini hapa. Rais huyo Bw. Sven Lindquest amesema kwa hatua hiyo ameipongeza kwa juhudi za utunzaji na

  READ MORE
 • MAKAMU WA RAIS AITAKA WIZARA YA AFYA KUACHA KULIMBIKIZA MADENI

  MAKAMU WA RAIS AITAKA WIZARA YA AFYA KUACHA KULIMBIKIZA MADENI0

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameutaka uongozi wa wizara ya afya  kuacha tabia ya Kulimbikiza madeni kwa wasambazaji wa dawa ili kuondosha usumbufu wa upatikanaji wa dawa  hali inayopelekea malalamiko  kutoka kwa wananchi . Mhe. Hemed ameeleza hayo wakati alipofanya ziara ya kuangalia hali ya uingizwaji na usambazwaji  wa

  READ MORE
 • WATENDAJI WA HALMASHAURI ONGEZENI UBUNIFU-MAJALIWA

  WATENDAJI WA HALMASHAURI ONGEZENI UBUNIFU-MAJALIWA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watendaji katika halmashauri zote nchini waongeze ubujifu na waanzishe miradi inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuviwezesha vikundi vinavyohitaji mikopo hiyo ili viweze kupata maendeleo.  Mheshimiwa Majaliwa alitoa kauli hiyo jana (Jumapili, Januari23, 2022) wakati akikabidhi pikipiki na guta kwa kikundi cha vijana kilichonufaika na

  READ MORE
 • MAJALIWA: VIJANA JIWEKEENI MALENGO YA KULISAIDIA TAIFA

  MAJALIWA: VIJANA JIWEKEENI MALENGO YA KULISAIDIA TAIFA0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wa Kitanzania wahakikishe wanajiwekea malengo ya kusoma kwa bidii ili kupata maarifa yatakayolisaidia Taifa kupata maendeleo. Pia, Waziri Mkuu amesema kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Elimu kufanya mapitio ya sera ili kuifanya sekta hiyo kuendelea kufanya vizuri zaidi Ameyasema hayo leo (Jumatatu, Januari 24, 2022)

  READ MORE
Translate »