• 0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ana utashi mkubwa wa kisiasa katika kukuza sekta ya michezo kwa kufanya uwekezaji na mabadiliko kwenye sekta hiyo. Amesema hayo leo (Jumatano, Oktoba 4, 2023) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni 500 kwa timu ya Taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) ikiwa ni

    READ MORE
  • SERIKALI IMEWEKEZA FEDHA NYINGI KWENYE SEKTA YA AFYA.

    SERIKALI IMEWEKEZA FEDHA NYINGI KWENYE SEKTA YA AFYA.0

    SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Wizara ya Afya imewekeza fedha nyingi kwenye sekta ya afya ili kuhakikisha hakuna mwananchi atakayekosa huduma bora ya afya. Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu ameyasema hayo Oktoba 3, 2023 kwenye kongamano la afya lililofunguliwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi

    READ MORE
  • Habari picha mapokezi ya ndege mpya Boeing 737-MAX 9.

    Habari picha mapokezi ya ndege mpya Boeing 737-MAX 9.0

    Habari picha mapokezi ya ndege mpya ya abiria aina ya Boeing 737-MAX 9 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) tarehe 3 Oktoba 2023.

    READ MORE
Translate »