• WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA JUKWAA LA KIMATAIFA LA CHAKULA.

    WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA JUKWAA LA KIMATAIFA LA CHAKULA.0

    Mkutano huo wa wakuu wa nchi na Serikali utaambatana na maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani pamoja na maadhimisho ya miaka 78 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) Jukwaa hilo linatarajiwa kuwakutanisha wadau wa kilimo wakiwemo vijana, wakulima, wazalishaji wadogo, watunga sera, wawekezaji katika kilimo na wanasayansi duniani, wote

    READ MORE
  • SERIKALI KUWAJENGEA UWEZO WAKUFUNZI VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII.

    SERIKALI KUWAJENGEA UWEZO WAKUFUNZI VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII.0

    Serikali imesema itaendelea kuwajengea uwezo wakufunzi wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vilivyo chini yake ili waweze kuzalisha wataalamu wenye weledi na sifa stahiki katika kutatua changamoto zilizopo katika jamii.  Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju wakati akifungua mafunzo kwa Wakuu wa

    READ MORE
  • DKT. BITEKO AMETOA MAELEKEZO YA KUKABILIANA NA MADHARA YA EL NINO.

    DKT. BITEKO AMETOA MAELEKEZO YA KUKABILIANA NA MADHARA YA EL NINO.0

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa maelekezo mbalimbali yatakayoboresha ufanisi katika utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Dharura wa Kuzuia na Kukabiliana na Madhara ya El Nino kama ilivyotabiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) mnamo Agosti 24, 2023. Ametoa maelekezo hayo leo Oktoba 13, 2023 jijini

    READ MORE
Translate »