- Habari, Kitaifa
- April 10, 2024
READ MORE- Dini, Habari
- April 10, 2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu kwenye Sala ya Eid Elfitri, katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Aprili 10.2024. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Amesema kuwa lengo ni kuhakikisha jamii inaendelea kuwa bora na kulifanya Taifa kuwa lenye tulivu, amani na mshikamano “Popote Tanzania unapokwenda
READ MORE- Dini, Habari, Kitaifa
- April 10, 2024
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Eid El Fitr iliyofanyika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 10 Aprili 2024. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuikaREAD MORE