• Rais Dkt.Mwinyi amesema ni wajibu kuulinda Muungano.

    Rais Dkt.Mwinyi amesema ni wajibu kuulinda Muungano.0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ni wajibu kuulinda Muungano, kuuendeleza, kuudumisha na kuimarisha zaidi ili kuzidi kunufaika kwa dhamira ile ile ya Waasisi wa Taifa letu. Rais Dk.Mwinyi ameeleza kuwa umoja wa Watanzania unazidi kuimarika , ushirikiano katika shughuli mbalimbali unaongezeka na amani inaendelea kudumu nchini. Rais

    READ MORE
  • HABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA LEO 16/4/2024.

    HABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA LEO 16/4/2024.0

    Habari kubwa kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo tarehe 16/4/2024.

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU AMEWASILI ARUSHA.

    WAZIRI MKUU AMEWASILI ARUSHA.0

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha Aprili 11, 2024. Kesho atashiriki katika Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine itayofanyika Moduli. Kulia niREAD MORE
Translate »