RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia klabu ya Ligi Kuu ya NBC ya Geita Gold kusajili wachezaji hadi itakapomlipa aliyekuwa Kocha wake Ettiene Ndayiragije. Kocha huyo raia wa Burundi alifungua madai dhidi ya Geita Gold FC akidai fidia ya kuvunjiwa mkataba pamoja na malipo mengine wakati akiifundisha timu hiyo ya mkoani Geita.
READ MORENa Barnabas Kisengi, Dodoma. Mashindono ya mchezo wa bao ya siku moja ya timu ya Dodoma na Arusha yamezindiliwa na kuchchezwa kwa kuongozwa na Naibu waziri wa kilimo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kuchuana na Mbunge wa Jimbo la Arusha MH MRISHO GAMBO Jijini Dodoma katika viwanja vya
READ MORE