• UZINDUZI MCHEZO WA NGUMI ZANZIBAR.

    UZINDUZI MCHEZO WA NGUMI ZANZIBAR.0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema tarehe 27 Agosti 2023 Zanzibar imefungua ukurasa mpya wa maendeleo ya sekta ya michezo kwa kuzindua rasmi mchezo wa ngumi kuwa miongoni mwa michezo iliyoruhusiwa kuchezwa Zanzibar kama ilivyo michezo mingine kwa kuzingatia sheria na kanuni za mchezo  huo kimataifa. Rais Dk.Mwinyi

    READ MORE
  • #CAFCL: YANGA YASONGA MBELE KWA KISHINDO, YASHINDA 5-1

    #CAFCL: YANGA YASONGA MBELE KWA KISHINDO, YASHINDA 5-10

    Yanga imepata ushindi huo dhidi ya ASAS ya Djibouti katika mchezo wa Hatua ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam Kwa matokeo haya Yanga imesonga mbele kwa magoli 7-1 kwa kuwa katika mchezo wa kwanza baina ya timu hizo ilishinda 2-0 Raundi ya Pili, Yanga inatarajiwa

    READ MORE
  • SIMBA WABABE WA YANGA NGAO YA JAMII

    SIMBA WABABE WA YANGA NGAO YA JAMII0

    Ushindi huo umepatikana kwa njia ya penati 3-1 baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika 90 za mchezo wa kuikaribisha Ligi Kuu Bara Msimu wa 2023/2024 uliopigwa kwenye Uwanja wa #Mkwakwani, #TangaWaliofunga penati upande wa #Simba ni Muzamiru Yassin, Willy Onana na Jean Baleke, waliokosa ni Saidi Ntibazonkiza na Moses Phiri Aliyefunga upande wa #Yanga

    READ MORE
Translate »