RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Club ya Yanga imetangaza kuachana na mchezaji wake Bernard Morrison Raia wa Ghana baada ya kuwatumikia kwa nyakati mbili tofauti, Yanga hadi sasa wameachana na wachezaji watatu Twisilla Kisinda, Dickson Ambundo pamoja na Bernard Morrison pamoja na Kocha Mkuu Nessredine Nabi na Kocha wa makipa Milton Nienov.
READ MOREBaada ya Kocha Nabi kupewa mkono wa Kwaheri na Klabu ya Yanga baada ya mkataba wake kufika tamati mwishoni mwa msimu huu na Kocha huyo kuamua kutoongeza mkataba mpya na kuomba kuondoka ili akatafute changamoto kwingine, Kocha huyo kipenzi cha mashabiki wengi wa Klabu ya Yanga kufuatia mafanikio aliyoipatia klabu hiyo ametumia ukurasa wake wa
READ MOREYanga imetangaza uamuzi wa kuachana na Nasreddine Nabi ambaye amemaliza Mkataba wake na kuamua kuondoka Baada ya kumalizika kwa Mkataba huo, Uongozi wa Yanga ulikutana na Nabi kwa ajili ya mazungumzo ya kusaini Mkataba mpya, lakini aliomba kuondoka ili akapate changamoto mpya Zaidi fuatilia kwenye video hapa chiniππ
READ MORE