Mtandano wa Transfermarket.com umetoa thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya klabu bingwa Afrika. 1.Al Ahly €25.50M 2.Mamelod €18.98M 3.Esperance €17.90M 4.Wydad Casablanca €13.30M 5.Kaizer Chief €11.08M 6.CR Belouizdad €10.9M 7.MC Alger €7.90M 8.Simba sc €2.20M.
READ MOREMkoa wa Kilimanjaro uko mbioni kuanza ujenzi wa uwanja wa mpya wa kikapu ambao utakuwa wa umma. Mkoa huo hadi sasa hauna kiwanja chochote cha umma, na wachezaji wa kikapu wanategemea viwanja vya taasisi binafsi na baadhi ya shule chache zenye viwanja. Katika mazungumzo yaliyofanyika kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira na
READ MORE