Thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
- SPORTS
- April 14, 2021
Mtandano wa Transfermarket.com umetoa thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya klabu bingwa Afrika. 1.Al Ahly €25.50M 2.Mamelod €18.98M 3.Esperance €17.90M 4.Wydad Casablanca €13.30M 5.Kaizer Chief €11.08M 6.CR Belouizdad €10.9M 7.MC Alger €7.90M 8.Simba sc €2.20M.
READ MOREMkoa wa Kilimanjaro uko mbioni kuanza ujenzi wa uwanja wa mpya wa kikapu ambao utakuwa wa umma. Mkoa huo hadi sasa hauna kiwanja chochote cha umma, na wachezaji wa kikapu wanategemea viwanja vya taasisi binafsi na baadhi ya shule chache zenye viwanja. Katika mazungumzo yaliyofanyika kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira na
READ MORENa Mwandishi wetu-Dar es Salaam Duka la vifaa vya michezo la Just Fit imemkabidhi vifaa vya vya mazoezi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, kuunga mkono juhudi zake na Wizara hiyo anayoiongoza katika kuhamasisha jamii kufanya mazoezi ya viungo. Hafla hiyo imefanyika leo Dar es Salaam, eneo
READ MORERaiswa shIrikisho LA miguu Tanzania Wallace Karia amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania ujumbe was baraza la shirikisho LA kimataifa LA Moira was miguu FIFA COUNCIL kuwakilisha nchi za Afrika zinazozungumza kiingereza Baada ya kushauriana na viongozi wenzake wa Baraza LA Vyama vya Mpira wa miguu Afrika Mashariki na kati CECAFA ambapo yeye ni Raising aliamua
READ MORE