Thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
- SPORTS
- April 14, 2021
KIKOSI cha KMC FC kipo tayari katika mpambano wa kesho dhidi ya Ruvu Shooting na kwamba maandalizi yamekamilika kwa asilimia kubwa hivyo mashabiki na wapenzi wajitokeze kwa wingi ili kushuhudia mtanange huo wenye mvuto kutoka kwa wana Kino Boys. KMC FC kesho itakuwa katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa Ligi
READ MOREUongozi wa klabu ya Yanga umefanya mazungumzo na aliyekuwa Kocha msaidizi wa kikosi hicho Juma Mwambusi ili kuja kukinoa kikosi cha Klabu hiyo. Hatua hiyo inakuja baada ya klabu hiyo kutangza kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha Mkuu, Cedric Kaze mnamo March 07, 2021.Juma Mwambusi aliomba kuvunja mkataba wake na yanga hivi karibuni kwa madai ya
READ MOREKlabu ya Simba imeutaarifu Umma kuwa Imepeleka barua Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika kuomba uchunguzi kuhusu Klabu ya Al-Merrikh ya Sudan kuwachezesha wachezaji waliofungiwa.
READ MOREKombe la karume Cup kwa mwaka 2021 linatarajiwa kuanza tarehe 10/03/2021 kisiwani Pemba na tarehe 15/03/2021 Unguja. Jumla ya timu 7 za WANAUME kwa Pemba zinatarajiwa kushiriki Kombe hilo na timu 8 za WANAUME NA 4 za WANAWAKE kwa Upande wa Unguja. Pemba watacheza kwa mtindo wa ligi na timu mbili za kwanza zitaingia hatua
READ MOREKikosi cha KMC FC kimerejea jijini Dar es Salaam leo kikitokea mkoani Tanga ikiwa ni baada ya kumalizika kwa mchezo wa jana dhidi ya Coast Union uliopigwa katika uwanja wa Mkwakwani na kumalizika kwa sare ya kutokufungana. KMC FC imerejea Jijini Dar es Salaam ambapo kesho itaendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo
READ MORE