TECNO KUWAPELEKA WATEJA WAO KUTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA BUREE.

TECNO KUWAPELEKA WATEJA WAO KUTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA BUREE.

Tembelea maduka ya TECNO na uzawadie ticket ya kwenda kushuhudia maajabu ya mbuga za Wanyama Tanzania, Fridge, Drones, King’amuzi cha DSTV na zawadi nyengine kibao. Zawadi hizi kukabidhiwa na msanii maarufu Elizabeth Michael 15/6/2021 kwa wateja wa simu ya kijanja TECNO Camon 17. https://user.tecno.com/tz/camon17series-activity?uid=359&type=2#/. Twenzetu camping kistaa ni promosheni inayohusisha simu za TECNO Camon 17

Tembelea maduka ya TECNO na uzawadie ticket ya kwenda kushuhudia maajabu ya mbuga za Wanyama Tanzania, Fridge, Drones, King’amuzi cha DSTV na zawadi nyengine kibao. Zawadi hizi kukabidhiwa na msanii maarufu Elizabeth Michael 15/6/2021 kwa wateja wa simu ya kijanja TECNO Camon 17. https://user.tecno.com/tz/camon17series-activity?uid=359&type=2#/. Twenzetu camping kistaa ni promosheni inayohusisha simu za TECNO Camon 17 tu.
TECNO imepanga kuendelea kuwapa raha wateja wa TECNO kupitia simu bora zenye teknolojia ya kisasa kwa bei rafiki. TECNO Camon 17 pro ni toleo jipya la series ya TECNO Camon ambayo uwekezaji wake mkubwa umewekwa kwenye Camera. TECNO Camon 17pro ina sifa yakutoa picha zenye rangi halisi na kurecord video kwa ubora wa hali ya juu Camon 17 pro inayafanya haya kwa teknolojia ya AI Camera yenye MP48 4K video resolution mbele na MP64 yenye Black and white mode kwajili ya kuchukua filamu.

TECNO haikupatii tu simu nzuri lakini pia inakufanya uendelee kuwa karibu nao kupitia ofa mbalimbali kama hii ya TECNO ya twenzetu camping kistaa. TECNO inakukaribisha uwe miongoni mwa wanafamilia wa TECNO watakaonde kushuhudia maajabu ya Mbunga zetu za Wanyama kwa kununua TECNO Camon 17 pro. TECNO Camon 17 pro inapatikana katika maduka yote ya simu nchini Tanzania na ofa ya GB78 za Tigo.
Tembelea www.tecno-mobile.com

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »