MWENYEKITI TLP APIGILIA MSUMARI KATIBA MPYA.

MWENYEKITI TLP APIGILIA MSUMARI KATIBA MPYA.

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha Tanzania Labour Party TLP Eng. Aivan Maganza amekitaka chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema kuachana na mpango wa kudai katiba mpya. Eng. Maganza amesema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mako makuu wa chama hicho jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Eng. Aivan Maganza

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha Tanzania Labour Party TLP Eng. Aivan Maganza amekitaka chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema kuachana na mpango wa kudai katiba mpya.

Eng. Maganza amesema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mako makuu wa chama hicho jijini Dar es salaam.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »