Babu Tale anakuja na WAUKAE FESTIVAL Mkoani Morogoro.

Babu Tale anakuja na WAUKAE FESTIVAL Mkoani Morogoro.

Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki Babu Tale anatarajia kufanya tamasha kubwa la muziki katika kata ya Kiroka iliyopo katika halmashauri ya Morogoro ambalo litawakutanisha wasanii wakubwa zaidi ya 20. Akizunguza na waandishi wa habari mkoani Morogoro Babu Tale amesema tamasha hilo lililopewa jina la WAUKAE FESTIVAL litafanyika siku ya tarehe 5 mwezi wa

Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki Babu Tale anatarajia kufanya tamasha kubwa la muziki katika kata ya Kiroka iliyopo katika halmashauri ya Morogoro ambalo litawakutanisha wasanii wakubwa zaidi ya 20.

Akizunguza na waandishi wa habari mkoani Morogoro Babu Tale amesema tamasha hilo lililopewa jina la WAUKAE FESTIVAL litafanyika siku ya tarehe 5 mwezi wa 8 mwaka huu 2021 ambapo wananchi wa jimbo hilo watapata fulsa ya kushuhudia wasanii wakubwa kutoka katika kundi la Wasafi wakiongozwa na Diamond Platnumz bila gharama yeyote.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »