RAIA 600 WA AFGHANISTAN WALIDANDIA NDEGE YA MAREKANI.

RAIA 600 WA AFGHANISTAN WALIDANDIA NDEGE YA MAREKANI.

Idadi hiyo ya Watu inatajwa kuwa zaidi ya mara tano ya uwezo wa Ndege kubeba abiria na moja ya idadi kubwa zaidi kuwahi kubebwa katika ndege hiyo aina ya Boeing C-17 Globemaster III Imeelezwa kuwa raia hao wa Afghanistan walitumia mlango wa Nyuma ili kudandia Ndege hiyo ya kimarekani wakijaribu kukimbia nchi hiyo iliyoingia chini

Idadi hiyo ya Watu inatajwa kuwa zaidi ya mara tano ya uwezo wa Ndege kubeba abiria na moja ya idadi kubwa zaidi kuwahi kubebwa katika ndege hiyo aina ya Boeing C-17 Globemaster III


Imeelezwa kuwa raia hao wa Afghanistan walitumia mlango wa Nyuma ili kudandia Ndege hiyo ya kimarekani wakijaribu kukimbia nchi hiyo iliyoingia chini ya utawala wanamgambo wenye itikadi kali, Taliban baada ya Rais wa Nchi hiyo kukimbilia nchi jirani.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »