Ndege aina ya Bombardier Q400 imeigonga pikipiki iliyokuwa inakatiza uwanjani.

Ndege aina ya Bombardier Q400 imeigonga pikipiki iliyokuwa inakatiza uwanjani.

Ndege aina ya Bombardier Q400 ya Congoairways imeigonga pikipiki iliyokuwa inakatiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luano Jjijini lubumbashi Nchini Demokrasia ya Congo DRC. Tukio hilo limetokea jumamosi ya tarehe 14 /08 /21 saa moja na dakika 15 jioni wakati ndege hiyo inashuka kwenye njia yake iliigonga pikipiki iliyokuwa inaendeshwa na mwanajeshi aliyekuwa

mwanajeshi aliyekatiza uwanjani na Pikipiki.

Ndege aina ya Bombardier Q400 ya Congoairways imeigonga pikipiki iliyokuwa inakatiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luano Jjijini lubumbashi Nchini Demokrasia ya Congo DRC.

Tukio hilo limetokea jumamosi ya tarehe 14 /08 /21 saa moja na dakika 15 jioni wakati ndege hiyo inashuka kwenye njia yake iliigonga pikipiki iliyokuwa inaendeshwa na mwanajeshi aliyekuwa anakatiza uwanja hapo.

Ndege aina ya Bombardier Q400 ya Congoairways ilikuwa imebeba abiria 18 na wahudumu 5 ikitokea mjini Mbuyi mai.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »