Mbunge wa jimbo la Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ametembelea Kijiji cha Ruvu ambacho wameanzisha ujenzi wa Shule ya Sekondari kutatua tatizo la Umbali watoto utembea kufuata elimu katika Mji wa Vigwaza. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani ameahidi kuwaunga Mkono juhudi zao za Ujenzi kwa Mabati 90 kuezeka madarasa 4 na mifuko ya saruji kama alivyofanya kwenye ujenzi






Mbunge wa jimbo la Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ametembelea Kijiji cha Ruvu ambacho wameanzisha ujenzi wa Shule ya Sekondari kutatua tatizo la Umbali watoto utembea kufuata elimu katika Mji wa Vigwaza.
Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani ameahidi kuwaunga Mkono juhudi zao za Ujenzi kwa Mabati 90 kuezeka madarasa 4 na mifuko ya saruji kama alivyofanya kwenye ujenzi wa shule ya msingi ya kijiji hicho.
Na Scolastica Msewa.
#KaziInaendelea
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *