YAANGA YAACHANA NA ANTONIO NUGAZ

YAANGA YAACHANA NA ANTONIO NUGAZ

Uongozi wa Klabu ya Yanga leo umetangaza kumalizana na Mfanyakazi wake Juma Khatib Nugaz maarufu @AntonioNugaz ambapo taarifa waliyoitoa wamesema Nugaz amemaliza mkataba wake na Club hiyo. Taarifa ya Yanga imesema “Uongozi wa Klabu ya Yanga unatoa shukrani za dhati kwa aliyekua Mfanyakazi wake Juma Khatib Nugaz maarufu kama Antonio Nugaz kwa utumishi wake ndani

Uongozi wa Klabu ya Yanga leo umetangaza kumalizana na Mfanyakazi wake Juma Khatib Nugaz maarufu @AntonioNugaz ambapo taarifa waliyoitoa wamesema Nugaz amemaliza mkataba wake na Club hiyo.

Taarifa ya Yanga imesema “Uongozi wa Klabu ya Yanga unatoa shukrani za dhati kwa aliyekua Mfanyakazi wake Juma Khatib Nugaz maarufu kama Antonio Nugaz kwa utumishi wake ndani ya klabu ya Yanga katika kipindi cha miaka miwili”

“Ndugu Juma (Nugaz) amemaliza mkataba wake wa utumishi katika klabu ya Yanga hivyo uongozi umeamua kutoongeza mkataba huo na kwamba unamshukuru sana kwa kazi yake na kumtakia kila la kheri na mafanikio katika maisha na kazi zake nje ya Klabu ya Yanga”

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »