Wajumbe wa Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani wakiwa na kamati za siasa za Wilaya ya Kibiti na Rufiji wakipokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa kufua umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere la Rufiji mkoani Pwani Walipotembelea kukagua thamani ya fedha za serikali zinaendana na kazi inayofanywa.

Kamati hizo za siasa za CCM zinaongozwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ramadhani Maneno.
Na Scolastica Msewa
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *