Waziri Mkuu Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusafisha Madini ya Dhahabu cha Geita Gold Refinery cha Mjini Geita.

Waziri Mkuu Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusafisha Madini ya Dhahabu cha Geita Gold Refinery cha Mjini Geita.

Waziri Mkuu, Kassin Majaliwa leo Septemba 22, 2021 ametembelea kiwanda cha kusafisha Madini ya Dhahabu cha Geita Gold Refinery cha  Mjini Geita, ambapo amemuahidi Afisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda hicho Bi. Sarah Masasi kuwa Serikali itaendelea kumuunga mkono katika kuhakikisha kiwanda hicho kinatekeleza majukumu yake kwa faida ya wadau wa Sekta ya madini na Taifa

Inaweza kuwa picha ya Watu 2 na watu wanasimama
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1, amesimama na ndani
Inaweza kuwa picha ya mtu mmoja au zaidi, watu wanasimama na ndani

Waziri Mkuu, Kassin Majaliwa leo Septemba 22, 2021 ametembelea kiwanda cha kusafisha Madini ya Dhahabu cha Geita Gold Refinery cha  Mjini Geita, ambapo amemuahidi Afisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda hicho Bi. Sarah Masasi kuwa Serikali itaendelea kumuunga mkono katika kuhakikisha kiwanda hicho kinatekeleza majukumu yake kwa faida ya wadau wa Sekta ya madini na Taifa kwa ujumla.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »