Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa viongozi wawili.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa viongozi wawili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili kama ifuatavyo- Amemteua Bw. Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO). Amemteua Bw. Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC). Kabla ya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili kama ifuatavyo-
  1. Amemteua Bw. Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO).
  1. Amemteua Bw. Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC).

Kabla ya uteuzi huu Bw. Kirama alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma (DE), Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Bw. Kirama anachukua nafasi ya Bw. Nyakimura Mathias Muhoji ambaye amestaafu.

Uteuzi huo umeanza tarehe 18 Septemba, 2021.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »