WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema Bandari ya Mtwara imejiandaa vizuri kwa ajili ya kusafirisha zao la korosho na uamuzi huo hautabadilika kwa kuwa ni maekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. “Haya ni maelekezo ya serikali kwamba korosho yote huku itapitia bandari hii maagizo hayo ni ya Rais hayatabadilika kwa hiyo wote ambao wanataka
WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema Bandari ya Mtwara imejiandaa vizuri kwa ajili ya kusafirisha zao la korosho na uamuzi huo hautabadilika kwa kuwa ni maekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan.
“Haya ni maelekezo ya serikali kwamba korosho yote huku itapitia bandari hii maagizo hayo ni ya Rais hayatabadilika kwa hiyo wote ambao wanataka kufanya biashara ya Korosho wajipange“Zaidi ya hapo hapa bandarini wanafanya kazi saa 24 kwa hiyo meli ikija kama ni kupakia inapakia kwa muda na kasi sana kwa sababu ya uwezo huo wa kufanya kazi muda wote,” amesema.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *