Timu ya Yanga imefanikiwa kuishushia kichapo timu wenyeji Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba, bao lililofungwa na Faither Salum dakika ya 24 ya mchezo.Mchezo huo wa kwanza wa ligi kuu msimu huu kwa timu hizo umechezwa katika uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba mkoani Kagera.

Timu ya Yanga imefanikiwa kuishushia kichapo timu wenyeji Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba, bao lililofungwa na Faither Salum dakika ya 24 ya mchezo.
Mchezo huo wa kwanza wa ligi kuu msimu huu kwa timu hizo umechezwa katika uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba mkoani Kagera.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *