Rais Samia awaongoza waombolezaji kuaga Mwili wa Naibu Waziri Wiliam Tate Ole Nasha Bungeni Dodoma.

Rais Samia awaongoza waombolezaji kuaga Mwili wa Naibu Waziri Wiliam Tate Ole Nasha Bungeni Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo  kufuatia kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Hayati William Tate Ole Nasha wakati wa kuaga mwili wa Naibu Waziri huyo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo  kufuatia kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Hayati William Tate Ole Nasha wakati wa kuaga mwili wa Naibu Waziri huyo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Hayati William Tate Ole Nasha katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI KUAGWA OLE NASHA JIJINI DODOMA | Full  Shangwe Blog
MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI KUAGWA OLE NASHA JIJINI DODOMA - Gazeti  App
Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akitoa pole kwa familia ya aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Hayati William Tate Ole Nasha katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
RAIS SAMIA AONGOZA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA ALIYEKUWA NAIBU  WAZIRI OLE NASHA - CCM Blog
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Hayati William Tate Ole Nasha katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
RAIS SAMIA AONGOZA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA ALIYEKUWA NAIBU  WAZIRI OLE NASHA - CCM Blog
RAIS SAMIA, SPIKA NDUGAI WASHIRIKI MISA YA KUUAGA MWILI WA NAIBU WAZIRI  MAREHEMU TATE OLE NASHA | Full Shangwe Blog
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »