Rais Samia amezindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD Longido mkoani Arusha .

Rais Samia amezindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD Longido mkoani Arusha .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uandaaji wa nyama mara baada ya kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kilichopo Eurendeke, Longido mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021. Akiwa mkoani humo Rais Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji safi wa Longido katika eneo

May be an image of 2 people, people standing and outdoors
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kilichopo Eurendeke, Longido mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021.
May be an image of 2 people, people standing and indoor
May be an image of 7 people and people standing

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uandaaji wa nyama mara baada ya kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kilichopo Eurendeke, Longido mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021.

Akiwa mkoani humo Rais Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji safi wa Longido katika eneo la Stendi mpya, Longido mkoani Arusha.

May be an image of 1 person, standing and outdoors
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akigusa maji mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi wa Longido leo tarehe 18 Oktoba, 2021 katika eneo la Stendi mpya, Longido mkoani Arusha.
May be an image of 2 people, people standing and outdoors
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »