MISRI: MARUFUKU KUINGIA OFISINI BILA KUCHANJWA WALA KUPIMA CORONA

MISRI: MARUFUKU KUINGIA OFISINI BILA KUCHANJWA WALA KUPIMA CORONA

Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia Ofisi za Serikali pasipo kuonesha ushahidi wamepata walau Dozi 1 ya Chanjo Zaidi ya watu Milioni 14 wamepata Dozi 2 huku takriban Milioni 27 wakipata Dozi 1. Serikali inalenga

Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo

Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia Ofisi za Serikali pasipo kuonesha ushahidi wamepata walau Dozi 1 ya Chanjo

Zaidi ya watu Milioni 14 wamepata Dozi 2 huku takriban Milioni 27 wakipata Dozi 1. Serikali inalenga kuchanja 40% ya Raia kufikia mwisho wa mwaka

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »