Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi William Lukuvi amesema sifa ya Dalali sio tu kujua kusoma na kuandika bali lazima wawe na Ofisi na walipe kodi ya Serikali. “Dalali akikuomba kodi ya mwezi mmoja mwambie akupe risiti ya EFD kama anayo, na sifa za Madalali sio tu kujua kusoma na kuandika hapana, lazima
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi William Lukuvi amesema sifa ya Dalali sio tu kujua kusoma na kuandika bali lazima wawe na Ofisi na walipe kodi ya Serikali.
“Dalali akikuomba kodi ya mwezi mmoja mwambie akupe risiti ya EFD kama anayo, na sifa za Madalali sio tu kujua kusoma na kuandika hapana, lazima wawe na ofisi na walipe kodi kwa sababu wanafanya transaction za Mamilioni, Dalali anauza hadi nyumba ya Bilioni moja halafu halipi kodi” Amesema Waziri Lukuvi
Itakumbukwa juzi Waziri Lukuvi akiwa Iringa leo aliwapiga pia marufuku Madalali wa nyumba wanaochukua kodi ya mwezi mmoja kwa Wapangaji na kuwataka waache mara moja na badala yake pesa hizo walipwe na wenye nyumba.
1 comment
1 Comment
fsafa
November 18, 2021, 11:06 amKweli anatafuta uongozi
https://www.xvideos.com/tags/mkundu
REPLY