Magaidi waliotoroka gerezani Kenya wakamatwa

Magaidi waliotoroka gerezani Kenya wakamatwa

Wafungwa 3 wanaohusishwa na visa vya ugaidi ambao walitoroka jela ya Kamiti nchini Kenya siku ya Jumatatu wamekamatwa. Musharaf Abdalla maarufu Alex Shikanda , Joseph Ouma na Mohammed Ali Abikar walikamatwa katika eneo la Kitui kusini mwa Kenya. Watatu hao waliibua taharuki nchini Kenya walipotoroka kutoka jela yenye ulinzi mkali zaidi baada kutoboa ukuta wa

Wafungwa 3 wanaohusishwa na visa vya ugaidi ambao walitoroka jela ya Kamiti nchini Kenya siku ya Jumatatu wamekamatwa.

Musharaf Abdalla maarufu Alex Shikanda , Joseph Ouma na Mohammed Ali Abikar walikamatwa katika eneo la Kitui kusini mwa Kenya.

Watatu hao waliibua taharuki nchini Kenya walipotoroka kutoka jela yenye ulinzi mkali zaidi baada kutoboa ukuta wa jela hiyo.

Walitumia nguo blanketi na waya kutengeneza kamba ambazo walitumia kupanda kuta mbili ndefu za jela hiyo.
Kitendo hicho kilisababisha maafisa 7 wa jela ya Kamiti kukamatwa kwa madai ya utepetevu uliowasaidia wahalifu hao kutoroka

Siku ya Jumatano, Rais Uhuru Kenyatta alimwaamrisha Waziri wa Mambo ya ndani Fred Matiangi kuhakikisha wanatumia kila mbinu kuwakamata wahalifi hao hatari.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »