MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2022 HAYA HAPA

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2022 HAYA HAPA

Serikali imetangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 huku ikisema imawapa kipaombele wanafunzi wa vijijini shule za kitaifa za bweni. Soma majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2022 hawa hapa Akitangaza uchaguzi huo leo Jumatano Novemba 24, 2021, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Ummy Mwalimu amesema nafasi zinazokwenda kwa

Serikali imetangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 huku ikisema imawapa kipaombele wanafunzi wa vijijini shule za kitaifa za bweni.

Soma majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2022 hawa hapa

Akitangaza uchaguzi huo leo Jumatano Novemba 24, 2021, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Ummy Mwalimu amesema nafasi zinazokwenda kwa wanafunzi wa bweni ni za shule za kitaifa.

■Video: Waziri Ummy akitangaza majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza 2022👇👇

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »