PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba, 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba, 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Heshima ya Wimbo wa Taifa kwenye Maadhimisho Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba, 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Vikosi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) vikipita kikakamavu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Desemba, 2021.
Askari wa vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na watoto wa Halaiki wakifanya maoneshe mbalimbali katika sherehe ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru leo tarehe 09 Desemba, 2021 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Onesho la silaha, vifaa vita na umahiri wa vikosi vya ulinzi na usalama katika maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania| Disemba 9, 2021 | Dar es Salaam, Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuwapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, katika Maadhimisho yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba, 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »