SERIKALI imeongeza muda wa miezi sita kwa Makampuni kuwasilisha taarifa za wamiliki manufaa wa Kampuni .

SERIKALI imeongeza muda wa miezi sita kwa Makampuni kuwasilisha taarifa za wamiliki manufaa wa Kampuni .

SERIKALI imeongeza muda wa miezi sita kwa Makampuni kuwasilisha taarifa za wamiliki manufaa wa Kampuni kwa Wakala wa usajili wa biashara na leseni(BRELA)kuanzia Januari Mosi Mwaka huu hadi Juni 2022. Waziri mwenye dhamana ya Viwanda na biashara Profesa Kitila Mkumbo ametangaza uamuzi huo hii leo Jijini Dodoma wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuongeza

SERIKALI imeongeza muda wa miezi sita kwa Makampuni kuwasilisha taarifa za wamiliki manufaa wa Kampuni kwa Wakala wa usajili wa biashara na leseni(BRELA)kuanzia Januari Mosi Mwaka huu hadi Juni 2022.

Waziri mwenye dhamana ya Viwanda na biashara Profesa Kitila Mkumbo ametangaza uamuzi huo hii leo Jijini Dodoma wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuongeza muda wa kuwasilisha taarifa za Wamiliki manufaa wa Kampuni.

Profesa Mkumbo amesema hatua hiyo imekuja kutokana upya wa dhana ya umiliki manufaa ambapo Makampuni mengi hayakuweza kuwasilisha taarifa zao kwani hadi kufikia Januari3 Mwaka huu jumla ya Makampuni 14,026 pekee ndio yamewasilisha taarifa za Wamiliki kwa Msajili wa Makampuni ambayo ni sawa na asilimia14 ya matarajio.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Makampuni na majina ya biashara(BRELA) Meinrad Rweyemamu ameeleza hatua ambazo huchukuliwa kwa baadhi ya Makampuni ambayo hushidwa kutekeleza Sheria .

Ikumbukwe kuwa wamiliki hao manufaa wa Kampuni walitakiwa kuwasilisha taarifa za umiliki mnamo Januari 2021 na ukomo wake ulikuwa ni Disemba 31,2021 na hivyo kuongezeka muda huo wa miezi sita.

MWISHO

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »