JUMA DUNI HAJI Mgombea Nafasi ya Uenyekiti Taifa Chama cha ACT-Wazalendo.

JUMA DUNI HAJI Mgombea Nafasi ya Uenyekiti Taifa Chama cha ACT-Wazalendo.

Mgombea Nafasi ya Uenyekiti wa Chama Alliance for Changeand Transparency –ACT-Wazalendo Taifa 2022 JINA : JUMA DUNI HAJITAREHE YA KUZALIWA : 26 NOVEMBA, 1950MAHALA ALIPOZALIWA : ZANZIBARURAIA : MTANZANIA, ZANZIBARNDOA : AMEOAANUANI : P.O.BOX 3637 ZANZIBAR,: Email; kibeni1950@gmail.com: +255 778 028182ANAPOISHI SASA : KISAUNI WILAYA MAGHARIB B’UNGUJA Elimu yake: University of Manchester- Masters in Human


Mgombea Nafasi ya Uenyekiti wa Chama Alliance for Change
and Transparency –ACT-Wazalendo Taifa 2022

JINA : JUMA DUNI HAJI
TAREHE YA KUZALIWA : 26 NOVEMBA, 1950
MAHALA ALIPOZALIWA : ZANZIBAR
URAIA : MTANZANIA, ZANZIBAR
NDOA : AMEOA
ANUANI : P.O.BOX 3637 ZANZIBAR,
: Email; kibeni1950@gmail.com
: +255 778 028182

ANAPOISHI SASA : KISAUNI WILAYA MAGHARIB B’
UNGUJA


Elimu yake:
 University of Manchester- Masters in Human Resource
Management, 1994-1995.
 University of Manchester United Kingdom-Post Graduate Diploma
in Business, 1993-1994.
 Mipango ya Kiuchumi-Japan, 1982.
 Mipango ya Elimu-Nigeria, 1980.
Page | 3 University of Reading United Kingdom-Post Graduate Diploma in
Education, 1978-1979.
 University of Dar es Salaam-Bsc. Education, 1972-1975.
 Sekondari ya Juu-Lumumba College Zanzibar, 1970-1971.
 Sekondari-Gamal Abdel Nassar Beit el Ras, 1966-1969.
 Skuli/Shule ya Msingi-Mkwajuni Primary School, 1959 -1965.


Uzoefu wa Kazi:
 Katibu Mtendaji Tume ya Mipango, 1981-1982.
 Katibu Mkuu Viwanda, 1980 -1981.
 Katibu Mkuu Mipango, 1980.
 Mjumbe wa Bodi Mbali Mbali Shirika la SUKITA, 1980.
 Afisa Mipango Elimu, 1976-1979.
 Mwalimu wa Sekondari, 1975-1979.


Uzoefu wa shughuli za Kisiasa:
 Makamo Mwenyekiti wa Alliance for Change and Transparency
[ACT-Wazalendo] –Taifa Machi, 2020- Oktoba, 2021.
 Naibu Kiongozi wa Chama Alliance for Change and Transparency
[ACT-Wazalendo] –Taifa Machi, 2019- Machi, 2020.
 Waziri wa Afya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, 2012-
2015.
 Mjumbe wa Kamati Mbalimbali za Kitaifa, Mazungumzo ya
Muafaka na Maridhiano ya Kisiasa Zanzibar.

 Mjumbe Baraza la Wawakilishi Zanzibar, 2010-2015
 Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi Taifa CUF, 1999-2014
 Naibu Katibu Mkuu CUF (Zanzibar), 1999-2010
 Mjumbe Baraza la Wawakilishi wa Kuteuliwa, 2009 2010
 Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha CUF, 1997-2010
 Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, 2010
 Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, 2005
 Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha
CUF,1999- 2003
 Mjumbe Baraza la Wawakilishi Jimbo la Mkunazini, 1997-2000
 Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, 1995
 Mwenyekiti Umoja wa Vijana ASP Sekondari ya Lumumba, 1970-
71
 Mwenyekiti Umoja wa Vijana ASP Sekondari Beit el-Ras, 1967


Taarifa Mahsusi;
 Mfungwa wa Kisiasa kwa kesi iliyodaiwa eti ya Uhaini kwa Serikali
ya Mapinduzi Zanzibar, 1997-2000
 Mfungwa wa Kisiasa kwa kesi ya kudaiwa kuuwa Askari wa Jeshi
la Polisi aliyeuwawa Pemba wakati mimi nikiwa Unguja, 2001-
2002


Nje ya Kazi rasmi anapendelea;

 Michezo,
 kusoma vitabu,
 kusoma na kufuatilia masuala ya kisiasa duniani
(political affairs)Huyu ndie Juma Duni Haji/Mjela Jela.
Mgombea Nafasi ya Uenyekiti wa Chama Alliance for Change
and Transparency –ACT-Wazalendo Taifa 2022
Ndugu Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa Heshima na
Taadhima Naomba UNICHAGUE niwe Mwenyekiti wako wa
Chama Taifa Tuendeleze Mapambano ya Kudai Haki, Usawa,
Demokrasia Na Mamlaka Kamili ya Kisiasa na Kiuchumi.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »