Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar achukuwa fomu ya Kugombea Umakamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo.

Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar achukuwa fomu ya Kugombea Umakamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo.

Habari katika Picha zikimuonyesha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Massoud Othman akikabidhiwa fomu ya Kugombea Umakamu Mwenyekiti Mwanachama wa chama hicho na Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha ACT Wazalendo Muhene Said Rashid katika Afisi Kuu ya chama hicho Vuga Zanzibar. Baada ya Kuchukua Fomu Makamu wa kwanza wa Rais

Habari katika Picha zikimuonyesha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Massoud Othman akikabidhiwa fomu ya Kugombea Umakamu Mwenyekiti Mwanachama wa chama hicho na Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha ACT Wazalendo Muhene Said Rashid katika Afisi Kuu ya chama hicho Vuga Zanzibar.

Baada ya Kuchukua Fomu Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar alipata nafasi ya Kuongea na Waandishi wa Habari

Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha ACT Wazalendo Muhene Said Rashid akimkabidhi Fomu ya Kugombea Umakamu Mwenyekiti Mwanachama wa chama hicho ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Othman Massoud Othman katika Afisi Kuu ya chama hicho Vuga Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais Othman Masoud Othman akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kuchukuwa fomu ya Kugombea Umakamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo katika Afisi Kuu ya chama hicho Zanzibar.
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »