Rais Dkt. Mwinyi amemtunuku, Dkt. Shein nishani ya Mapinduzi ya mwaka 1964.

Rais Dkt. Mwinyi amemtunuku, Dkt. Shein nishani ya Mapinduzi ya mwaka 1964.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemtunuku Nishani ya Mapinduzi ya mwaka 1964, Dk. Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu wa Awamu ya Saba.Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu, Mnazi Mmoja Zanzibar na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Serikali,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemtunuku Nishani ya Mapinduzi ya mwaka 1964, Dk. Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu wa Awamu ya Saba.Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu, Mnazi Mmoja Zanzibar na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Serikali, siasa na dini pamoja na wakuu vya vyombo vya Ulinzi na Usalama.Nishani hiyo inatokana na uwezo aliopewa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi chini ya kifungu cha 10 (1) na (2) cha Sheria ya Mambo ya Rais Namba 3 ya mwaka 2020, na kama ilivyotangazwa katika tangazo la Kisheria No. 24 ya mwaka 2022 kupitia Gazeti Rasmi la Serikali la Janauri 10.2022.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »