WANAFUNZI 10 BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2021

WANAFUNZI 10 BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2021

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2021. Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia, baraza hilo limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili 2021.

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2021.

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia, baraza hilo limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili 2021.

Akitangaza matokeo hayo, Dkt. Msonde amesema watahiniwa wa Shule 422,388 (87.30%) kati ya Watahiniwa 483,820 wamefaulu Mitihani yao ongezeko la ufaulu ni 1.46% ikilinganishwa na mwaka 2020.Dkt. Msonde ametangaza watahiniwa 10 bora wa kidato cha nne ambao ni:

1. Consolata Prosper Luguva – St. Francis (Mbeya)
2. Butoi Ernest Kangaza – St. Francis (Mbeya)
3. Wllhemia Steven – St. Francis (Mbeya)
4. Cronel John – St Francis (Mbeya)
5. Merry George Ngoso – St Francis (Mbeya)
6. Holly Beda Lyimo – Bright Future Girls (Dar es Salaam)
7. Brandina – St. Francis (Mbeya)
8. Imamu Suleiman – Feza Boys (Dar es Salaam)
9. Mfalme Hamis Madili – Ilboru (Arusha)
10. Clara Straton – St. Francis (Mbeya)

Bonyeza kila kiungio hapa chini kuona matokeo husika;

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2021

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE(SFNA) 2021

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »