WANAFUNZI 10 BORA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2021

WANAFUNZI 10 BORA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2021

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2021. Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia, baraza hilo limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili 2021.

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2021.

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia, baraza hilo limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili 2021.

Akitangaza matokeo hayo, Dkt. Msonde amesema watahiniwa wa Shule 422,388 (87.30%) kati ya Watahiniwa 483,820 wamefaulu Mitihani yao ongezeko la ufaulu ni 1.46% ikilinganishwa na mwaka 2020.

Watahiniwa 10 bora kwenye upimaji wa Wanafunzi wa kidato cha pili.1. Geovin Macha – Shule ya Jude Arusha2. Moses Masome – Heritage Pwani3. Pius Tairo – Tengeru Arusha4. Henry Shelembi -Jude Arusha5. Shilanga Malegi – Heritage Pwani6. Loi Kitundu – Feza Girls – DSM7. Joshua Leo – Tengeru Boys Arusha8. Brian Chille – Marian Mkoa wa Pwani9. Cornel Karoli – Jude Arusha10. Elizabeth Msengi – St. Monica Arusha

Bonyeza kila kiungio hapa chini kuona matokeo husika;

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2021

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE(SFNA) 2021

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »