SIMBA WAMLILIA SHABIKI ALIYEJINYOGA

SIMBA WAMLILIA SHABIKI ALIYEJINYOGA

Klabu ya soka ya Simba imeeleza kupokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha shabiki wake Khalfan Mwambena, ambaye kwa mujibu kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Christina Musyani alijinyonga Jumatatu Januari 17, 2022 kabla ya mechi dhidi ya Mbeya City ambao uliisha kwa Simba SC kupoteza 1-0.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »