SERIKALI YAZINDUA MKAKATI WA KITAIFA WA ELIMU JUMUISHI WA MIAKA MITANO JIJINI DODOMA

SERIKALI YAZINDUA MKAKATI WA KITAIFA WA ELIMU JUMUISHI WA MIAKA MITANO JIJINI DODOMA

  SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia  imezindua mkakati wa Kitaifa  wa Elimu jumuishi wa miaka mitano [2021/22-2025/26]lengo likiwa ni kutoa Elimu jumuishi ambayo itakuwa na mfumo ambao unatoa fursa kwa Wanafunzi wenye mahitaji maalum kuanzia ngazi ya awali hadi Chuo. Akizungumza katika uzinduzi wa Mkakati huo  leo Jijini Dodoma Kwaniaba ya Waziri wa Elimu

Katibu Mkuu wa Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Eliamani Sedoyeka,akizungumza wakati akizindua Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

 Kamishina wa Elimu Tanzania Dkt.Lyabwene Mtahabwa,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Elimu Maalum na Jumuishi kutoka Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknlojia Dkt.Magreth Matonya,akielezea lengo la mkakati huo wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

 

Mwakilishi Mkazi wa Mashirika ya Kimataifa Dkt.Daniel Baheta,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma Pili Mbaga,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

Wanafunzi walioshiriki uzinduzi wakifatilia Katibu Mkuu wa Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Eliamani Sedoyeka (hayupo pichani), wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

Wadau mbalimba wakifatilia Katibu Mkuu wa Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Eliamani Sedoyeka (hayupo pichani), wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Eliamani Sedoyeka,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Elimu Maalum na Jumuishi kutoka Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknlojia Dkt.Magreth Matonya kabla ya kuzindua Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Eliamani Sedoyeka,akizindua Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Eliamani Sedoyeka,akiwa na wadau pamoja na wanafunzi wakionyesha vitabu vya muongozo mara baada ya kuzindua  Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Eliamani Sedoyeka,akiwa katika picha ya pamoja na wadau mara baada ya kuzindua  Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Eliamani Sedoyeka,akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi  mara baada ya kuzindua  Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2021/22-2025/26 uliofanyika leo Januari 28,2022 jijini Dodoma.

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia  imezindua mkakati wa Kitaifa  wa Elimu jumuishi wa miaka mitano [2021/22-2025/26]lengo likiwa ni kutoa Elimu jumuishi ambayo itakuwa na mfumo ambao unatoa fursa kwa Wanafunzi wenye mahitaji maalum kuanzia ngazi ya awali hadi Chuo.

Akizungumza katika uzinduzi wa Mkakati huo  leo Jijini Dodoma Kwaniaba ya Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda,Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka  amesema Mpango wa Serikali ni kuhakikisha  kila Mtanzania anapata elimu bora bila kujali hali aliyo nayo.

Katika hatua nyingine Profesa Sadoyeka ametoa wito kwa wadau wote wa elimu Nchini  kuwa wanafikisha taarifa sahihi juu ya umuhimu wa elimu Jumuishi hasa kwa makundi ya watu wenye mahitaji maalum ili wawwze kupata Elimu.

Kwa Upande wake Kmishna wa Elimu Tanzania  Dkt.Lyabwene Mtahabwa    amesema kila mtu ana haki ya kupata elimu bora na kitendo Cha  kumnyima mtu elimu bora ni kumwandaa kuwa mtumwa katika karne hii ya 21.

Awali Mkurugenzi wa Elimu Maalum wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia,Magreth Matonya ameeleza kuwa kupitia Mkakati huo watakuwa wakifanya tathmini mara kwa mara.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »