Bunge limetoa maelekezo kwa Serikali kuhusu Mgogoro unaoendelea Ngorongoro.

Bunge limetoa maelekezo kwa Serikali kuhusu Mgogoro unaoendelea Ngorongoro.

BUNGE limetoa maelekezo  mawili kwa serikali kuhusu mgogoro unaoendelea kwenye Hifadhi ya Ngorongoro Mkoani Arusha ikiwemo kufanya utafiti wa kina ili kuangalia matumizi bora ya ardhi. Spika wa Bunge Dokta Tulia Ackson amesema hayo Jijini Dodoma katika kikao chake na wahariri na waandishi wa habari. Akizungumzia kuhusu wabunge 19 wa viti maalum waliopo bungeni kwa

WABUNGE 19 WA CHADEMA NI HALALI BUNGENI – Habari Portal
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dokta Tulia Ackson.

BUNGE limetoa maelekezo  mawili kwa serikali kuhusu mgogoro unaoendelea kwenye Hifadhi ya Ngorongoro Mkoani Arusha ikiwemo kufanya utafiti wa kina ili kuangalia matumizi bora ya ardhi.

Spika wa Bunge Dokta Tulia Ackson amesema hayo Jijini Dodoma katika kikao chake na wahariri na waandishi wa habari.

Akizungumzia kuhusu wabunge 19 wa viti maalum waliopo bungeni kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA,dokta Tulia amesema wapo kihalali.

Pamoja na mambo mengine Dokta Tulia ameomba ushirikiano kutoka kwa waandishi wa habari ili kutimiza dhamira yake ya kulifanya bunge kuwa daraja kati ya serikali na wananchi.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »