Azam Football Club imemuuza mchezaji wake Alain Thierry Akono Akono kwenda klabu ya Negeri Sembilan ya Malaysia. Akono alijiunga na Azam FC mwanzoni mwa msimu huu akitokea klabu ya AS Fortuna ya Cameroon kwa mkataba wa miaka miwili. Akono anakuwa mchezaji wa tatu kuuzwa na Azam FC msimu huu. Alianza Novatus Dismas aliyetimkia Israel,
Azam Football Club imemuuza mchezaji wake Alain Thierry Akono Akono kwenda klabu ya Negeri Sembilan ya Malaysia.
Akono alijiunga na Azam FC mwanzoni mwa msimu huu akitokea klabu ya AS Fortuna ya Cameroon kwa mkataba wa miaka miwili.
Akono anakuwa mchezaji wa tatu kuuzwa na Azam FC msimu huu.
Alianza Novatus Dismas aliyetimkia Israel, akafuatia Shaaban Idd Chilunda aliyeuzwa Morocco.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *