Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 21 Machi 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Austria Balozi Celestine Mushy, mazungumzo yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Balozi Celestine
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 21 Machi 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Austria Balozi Celestine Mushy, mazungumzo yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Balozi Celestine Mushy, anayekwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Austria, wakati wa mazungumzo yao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 21 Machi 2022.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Celestine Mushy, anayekwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Austria mazungumzo yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 21 Machi 2022.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *