MZEE MREMA AFUNGA NDOA NA BINTI MBICHI

MZEE MREMA AFUNGA NDOA NA BINTI MBICHI

Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Augustino Mrema leo Alhamisi Machi 24, 2022 ameamua kuacha ukapela na kufunga ndoa na Doreen Kimbi. Ndoa hiyo imefungwa katika kanisa Katoliki Parokia ya Uwomboni Kiraracha mkoani Kilimanjaro. Mke wa mzee Mrema anayejulikana kwa jina la Doreen Kimbi amesema kuwa atamrudisha mzee Mrema ujanani. “Mpaka kufikia hivi

Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Augustino Mrema leo Alhamisi Machi 24, 2022 ameamua kuacha ukapela na kufunga ndoa na Doreen Kimbi.

Ndoa hiyo imefungwa katika kanisa Katoliki Parokia ya Uwomboni Kiraracha mkoani Kilimanjaro.

Mke wa mzee Mrema anayejulikana kwa jina la Doreen Kimbi amesema kuwa atamrudisha mzee Mrema ujanani.

“Mpaka kufikia hivi alivyo nimemfanya hivi. Katika kipindi cha uchumba nimemweka kuwa sawa, vitu vyote anavyohitaji anavipata. Kwa sasa amebadilika, nimeamua mwenyewe na sijashurutishwa na mtu na watarajie kuona anapendeza, nataka hadi awe kijana” amesema Doreen.

Mrema anaoa baada ya Mke wake wa kwanza Rose Mrema kufariki September, 2021.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »