MBUNGE WA CCM AFARIKI DUNIA

MBUNGE WA CCM AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Rukwa (CCM), Irene Ndyamkama amefariki dunia leo Jumapili Aprili 24, 2022 katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha alikokuwa akipatiwa matibabu. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametangaza kifo cha Irene leo na kutoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wabunge na wananchi wa Mkoa wa Rukwa. “Mwenyezi Mungu awape

Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Rukwa (CCM), Irene Ndyamkama amefariki dunia leo Jumapili Aprili 24, 2022 katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha alikokuwa akipatiwa matibabu.

Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametangaza kifo cha Irene leo na kutoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wabunge na wananchi wa Mkoa wa Rukwa.

“Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu. Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa” imeeleza taarifa ya Bunge ikimnukuu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »