SIMBA ABANWA NA WACHIMBA MADINI

SIMBA ABANWA NA WACHIMBA MADINI

FULL TIME: LIGI KUU YA NBC 🏟️ CCM Kirumba GEITA GOLD 1 – 1 SIMBA SC⚽ George Mpole 20′⚽ Kibu Dennis 27′ Shughuli imemalizika katika dimba la CCM Kirumba, ni sare ya 1-1 kati ya wenyeji Geita Gold dhidi ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC. Simba SC imefikisha alama 54 katika nafasi ya pili huku

FULL TIME: LIGI KUU YA NBC

🏟️ CCM Kirumba

GEITA GOLD 1 – 1 SIMBA SC
⚽ George Mpole 20′
⚽ Kibu Dennis 27′

Shughuli imemalizika katika dimba la CCM Kirumba, ni sare ya 1-1 kati ya wenyeji Geita Gold dhidi ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC.

Simba SC imefikisha alama 54 katika nafasi ya pili huku Geita Gold ikifikisha alama 35 na kupanda mpaka nafasi ya 4.

George Mpole ameandika goli lake la 14 la Ligi kuu ya NBC Tanzania huku Kibu Dennis akifunga kwa mara 5 mfululizo.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »