PROF. JAY ATOKA HOSPITALINI

PROF. JAY ATOKA HOSPITALINI

Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema Joseph Haule (Profesa Jay) ameruhusiwa kutoka Hospitalini jana na kwenda nyumbani baada ya hali yake kiafya kuonekana kuimarika. Msanii huyu nguli wa Bongofleva ameruhusiwa kutoka Hospitalini baada ya siku 127 za kutibiwa kwenye Hospitali hii ya Taifa iliyopo Jijini Dar es salaam. #

Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema Joseph Haule (Profesa Jay) ameruhusiwa kutoka Hospitalini jana na kwenda nyumbani baada ya hali yake kiafya kuonekana kuimarika.

Msanii huyu nguli wa Bongofleva ameruhusiwa kutoka Hospitalini baada ya siku 127 za kutibiwa kwenye Hospitali hii ya Taifa iliyopo Jijini Dar es salaam. #

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »