Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba alipokuwa akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, Bungeni, Dodoma tarehe 14 Juni, 2022. Rais Samia amefuatilia hotuba hiyo ya Bunge wakati akiwa Muscat nchini Oman.

Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *